1 Nyakati 16:20
walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, 2 kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they went from nation to nation, and from one kingdom to another people;
In Context
19Walipokuwa wachache kwa idadi, 2 wachache sana na wageni ndani yake, 1
21Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; 2 kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 1
Cross References
Genesis 20:1Basi Abrahamu akaendelea mbele kutoka huko hadi nchi ya Negebu na akaishi kati ya Kadeshi na Shuri. Kwa muda mfupi alikaa Gerari kama mgeni,
Genesis 46:6Wakachukua pia mifugo yao na mali walizokuwa wamezipata Kanaani, Yakobo na uzao wake wote wakashuka Misri.