The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:24

1 Nyakati 16:24

Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, 2 matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Declare his glory among the heathen; his marvellous works among all nations.

In Context

23Mwimbieni Bwana dunia yote; 2 tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 1

25Kwa kuwa Bwana ni mkuu, 2 mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; 2 yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

2 Kings 19:19Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Isaya Anatoa Unabii Wa Kuanguka Kwa Senakeribu (Isaya 37:21-38)

Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1

Isaiah 12:2Hakika Mungu ni wokovu wangu; 2 nitamtumaini wala sitaogopa. 1 Bwana, Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:231 Nyakati 161 Nyakati 16:25 →