The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:28

1 Nyakati 16:28

Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, 2 mpeni Bwana utukufu na nguvu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Give unto the LORD, ye kindreds of the people, give unto the LORD glory and strength.

In Context

27Fahari na enzi viko mbele yake; 2 nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 1

29mpeni Bwana utukufu 2 unaostahili jina lake. 1 Leteni sadaka na mje katika nyua zake; 2 mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1

Psalms 66:1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! 2

Psalms 67:7Mungu atatubariki 2 na miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Psalms 86:8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, 2 hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 1

Psalms 100:1Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote. 2

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:271 Nyakati 161 Nyakati 16:29 →