Isaya 11:10
Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 2:12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 1
Psalms 91:4Atakufunika kwa manyoya yake, 2 chini ya mbawa zake utapata kimbilio, 2 uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako. 1
Psalms 145:11Watasimulia utukufu wa ufalme wako 2 na kusema juu ya ukuu wako, 1
Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.
Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1
Isaiah 14:3Katika siku Bwana atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,