1 Nyakati 16:29
mpeni Bwana utukufu 2 unaostahili jina lake. 1 Leteni sadaka na mje katika nyua zake; 2 mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, 2 mpeni Bwana utukufu na nguvu, 1
30Dunia yote na itetemeke mbele zake! 2 Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa. 1
Cross References
1 Kings 8:41“Kwa habari ya mgeni ambaye si miongoni mwa watu wako Israeli, lakini amekuja kutoka nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako,
Psalms 29:2Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; 2 mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 1
Psalms 68:30Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, 2 kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. 1 Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. 2 Tawanya mataifa yapendayo vita. 1
Psalms 72:15Aishi maisha marefu! 2 Na apewe dhahabu ya Sheba. 1 Watu wamwombee daima 2 na kumbariki mchana kutwa. 1
Psalms 95:2Tuje mbele zake kwa shukrani, 2 tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 1
Psalms 96:9Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake; 2 dunia yote na itetemeke mbele zake. 1