The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:30

1 Nyakati 16:30

Dunia yote na itetemeke mbele zake! 2 Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Fear before him, all the earth: the world also shall be stable, that it be not moved.

In Context

29mpeni Bwana utukufu 2 unaostahili jina lake. 1 Leteni sadaka na mje katika nyua zake; 2 mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 1

31Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 semeni katikati ya mataifa, “ Bwana anatawala!” 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

1 Chronicles 16:23Mwimbieni Bwana dunia yote; 2 tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 1

Psalms 33:9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, 2 aliamuru na ikasimama imara. 1

Psalms 96:9Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake; 2 dunia yote na itetemeke mbele zake. 1

Psalms 148:5Vilisifu jina la Bwana 2 kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 1

Jeremiah 10:12Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake, 2 akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake, 2 na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake. 1

Hebrews 1:3Mwana ni mngʼao wa utukufu wa Mungu na mfano halisi wa nafsi yake, akivihifadhi vitu vyote kwa neno lake lenye uweza. Akiisha kufanya utakaso kwa ajili ya dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Aliye Mkuu huko mbinguni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:291 Nyakati 161 Nyakati 16:31 →