The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:31

1 Nyakati 16:31

Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 semeni katikati ya mataifa, “ Bwana anatawala!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let the heavens be glad, and let the earth rejoice: and let men say among the nations, The LORD reigneth.

In Context

30Dunia yote na itetemeke mbele zake! 2 Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa. 1

32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 2 mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

Psalms 19:1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, 2 anga zahubiri kazi ya mikono yake. 1

Psalms 93:1Bwana anatawala, amejivika utukufu; 2 Bwana amejivika utukufu 2 tena amejivika nguvu. 1 Dunia imewekwa imara, 2 haitaondoshwa. 1

Psalms 97:1Bwana anatawala, nchi na ifurahi, 2 visiwa vyote vishangilie. 1

Psalms 99:1Bwana anatawala, 2 mataifa na yatetemeke; 1 anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, 2 dunia na itikisike. 1

Psalms 148:1Msifuni Bwana. 1 Msifuni Bwana kutoka mbinguni, 2 msifuni juu vileleni. 1

Isaiah 44:23Enyi mbingu, imbeni kwa furaha, 2 kwa maana Bwana amefanya jambo hili. 2 Ee vilindi vya dunia, piga kelele. 1 Enyi milima, pazeni sauti kwa nyimbo, 2 enyi misitu na miti yenu yote, 1 kwa maana Bwana amemkomboa Yakobo, 2 ameuonyesha utukufu wake katika Israeli. 1 Yerusalemu Kukaliwa 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:301 Nyakati 161 Nyakati 16:32 →