1 Nyakati 19:7
Wakakodisha magari ya vita 32,000 yakiwa na waendeshaji wake, pamoja na mfalme wa Maaka na vikosi vyake, wakaja na kupiga kambi karibu na Medeba. Waamoni nao wakakusanyika toka miji yao, wakatoka ili kupigana vita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji.
Cross References
Numbers 21:30“Lakini tumewashinda; 2 Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. 1 Tumebomoa hadi kufikia Nofa, 2 ulioenea hadi Medeba.”
Joshua 13:16Eneo la Aroeri lililo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Medeba
1 Samuel 13:5Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Israeli, wakiwa na magari ya vita 3,000, waendesha magari ya vita 6,000 na askari wa miguu wengi kama mchanga wa ufuoni mwa bahari. Walipanda na kupiga kambi huko Mikmashi, mashariki ya Beth-Aveni.
1 Chronicles 18:4Daudi akateka magari ya vita 1,000 miongoni mwa magari yake, waendesha hayo magari ya kukokotwa na farasi 7,000 na askari wa miguu 20,000. Daudi akakata mishipa ya miguu ya nyuma ya farasi wote wakokotao magari, ila akabakiza 100.
Psalms 20:7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, 2 bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 1