The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 19 › 1 Nyakati 19:8

1 Nyakati 19:8

Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when David heard of it, he sent Joab, and all the host of the mighty men.

In Context

7Wakakodisha magari ya vita 32,000 yakiwa na waendeshaji wake, pamoja na mfalme wa Maaka na vikosi vyake, wakaja na kupiga kambi karibu na Medeba. Waamoni nao wakakusanyika toka miji yao, wakatoka ili kupigana vita.

9Waamoni wakatoka wakajipanga wakiwa tayari kwa vita langoni la mji wao, wakati wale wafalme wengine waliokuja nao walijipanga kwa vita uwanjani.

Read all of 1 Nyakati 19

Cross References

2 Samuel 23:8Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi: Yosheb-Bashebethi, + 23:8 Yosheb-Bashebethi au Yashobeamu ( 1Nya 11:11 ). Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.

1 Chronicles 11:10Hawa ndio waliokuwa wakuu wa mashujaa wa Daudi: wao pamoja na Israeli wote wakauimarisha ufalme wake ili kuenea katika nchi yote, kama Bwana alivyoahidi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 19:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 19:71 Nyakati 191 Nyakati 19:9 →