1 Chronicles 2:31
Apaimu akamzaa: 2 Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. 2 Sheshani akamzaa Alai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Appaim; Ishi. And the sons of Ishi; Sheshan. And the children of Sheshan; Ahlai.
In Context
30Wana wa Nadabu walikuwa 2 Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto. 1
32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: 2 Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. 1
Cross References
1 Chronicles 2:34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. 2 Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.