1 Chronicles 2:32
Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: 2 Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Jada the brother of Shammai; Jether and Jonathan: and Jether died without children.
In Context
31Apaimu akamzaa: 2 Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. 2 Sheshani akamzaa Alai. 1
33Wana wa Yonathani walikuwa: 2 Pelethi na Zaza. 1 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli. 1