1 Chronicles 2:33
Wana wa Yonathani walikuwa: 2 Pelethi na Zaza. 1 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Jonathan; Peleth, and Zaza. These were the sons of Jerahmeel.
In Context
32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: 2 Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. 1
34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. 2 Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.