1 Chronicles 2:42
Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: 2 Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Shalumu akamzaa Yekamia, 2 naye Yekamia akamzaa Elishama. 2 Koo Za Kalebu 1
43Hebroni alikuwa na wana wanne: 2 Kora, Tapua, Rekemu na Shema.
Cross References
Exodus 4:22Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,
Joshua 15:44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. 1
1 Samuel 23:19Basi Wazifu wakakwea kwa Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hajifichi miongoni mwetu katika ngome huko Horeshi, katika kilima cha Hakila, kusini mwa Yeshimoni?
1 Chronicles 2:9Wana wa Hesroni walikuwa: 2 Yerameeli, Ramu na Kalebu. 2 Kuanzia Ramu Mwana Wa Hesroni 1
1 Chronicles 2:23(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi. 1
1 Chronicles 2:49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.