1 Chronicles 2:9
Wana wa Hesroni walikuwa: 2 Yerameeli, Ramu na Kalebu. 2 Kuanzia Ramu Mwana Wa Hesroni 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons also of Hezron, that were born unto him; Jerahmeel, and Ram, and Chelubai.
In Context
8Mwana wa Ethani alikuwa: 2 Azariya. 1
10Ramu alimzaa 2 Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
Cross References
Ruth 4:19Hesroni akamzaa Ramu, 1 Ramu akamzaa Aminadabu, 1
1 Chronicles 2:18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
1 Chronicles 2:25Wana wa Yerameeli mzaliwa wa kwanza wa Hesroni walikuwa: 2 Ramu mzaliwa wake wa kwanza, Buna, Oreni, Osemu na Ahiya.
Matthew 1:3Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, 2 Peresi akamzaa Hesroni, 2 Hesroni akamzaa Aramu, 2