1 Chronicles 2:49
Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Cross References
Joshua 15:16Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.”
Joshua 15:57Kaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake. 1
1 Chronicles 2:42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: 2 Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 1