1 Chronicles 2:46
Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Ephah, Caleb’s concubine, bare Haran, and Moza, and Gazez: and Haran begat Gazez.
In Context
45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 1
47Wana wa Yadai walikuwa: 2 Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 1
Cross References
1 Chronicles 2:18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.