1 Chronicles 2:47
Wana wa Yadai walikuwa: 2 Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Jahdai; Regem, and Jotham, and Gesham, and Pelet, and Ephah, and Shaaph.
In Context
46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 1
48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.