1 Nyakati 2:48
Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Maachah, Caleb’s concubine, bare Sheber, and Tirhanah.
In Context
47Wana wa Yadai walikuwa: 2 Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu. 1
Cross References
Genesis 25:5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho.