bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 20 › 1 Nyakati 20:4
1 Nyakati 20:4
Baada ya muda, kulitokea vita dhidi ya Wafilisti, huko Gezeri. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Sipai, aliyekuwa mmoja wa wazao wa Warefai, + 20:4 Yaani majitu. nao Wafilisti wakashindwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass after this, that there arose war at Gezer with the Philistines; at which time Sibbechai the Hushathite slew Sippai, that was of the children of the giant: and they were subdued.
In Context
3Akawatoa watu waliokuwa humo, akawaweka wafanye kazi kwa misumeno, sululu za chuma na mashoka. Daudi akafanya hivi kwa miji yote ya Waamoni. Kisha Daudi na jeshi lake lote wakarudi Yerusalemu. 1 Vita Na Wafilisti (2 Samweli 21:15-22)
5Katika vita vingine na Wafilisti, Elhanani mwana wa Yairi alimuua Lahmi nduguye Goliathi, Mgiti, ambaye mkuki wake ulikuwa na mpini kama mti wa mfumaji.
Read all of 1 Nyakati 20
Cross References
Joshua 12:12mfalme wa Egloni 2 mmoja 1 mfalme wa Gezeri 2 mmoja 1
2 Samuel 21:15Kwa mara nyingine tena kulikuwa na vita kati ya Wafilisti na Israeli. Daudi akashuka pamoja na watu wake ili kupigana dhidi ya Wafilisti, naye akawa amechoka sana.
1 Chronicles 11:29Sibekai Mhushathi, 2 Ilai Mwahohi, 2
1 Chronicles 27:11Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 20:4