2 Samuel 21:15
Kwa mara nyingine tena kulikuwa na vita kati ya Wafilisti na Israeli. Daudi akashuka pamoja na watu wake ili kupigana dhidi ya Wafilisti, naye akawa amechoka sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 14:10“Sasa basi, kama vile Bwana alivyoahidi, ameniweka hai kwa miaka arobaini na mitano tangu wakati alipomwambia Mose jambo hili, wakati Waisraeli wakiwa wanazunguka jangwani. Hivyo mimi hapa leo, nina umri wa miaka themanini na mitano!
2 Samuel 5:22Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai.
2 Samuel 8:1Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, naye akautwaa Metheg-Amma kutoka mikononi mwa Wafilisti.
Psalms 71:9Usinitupe wakati wa uzee, 2 wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 1
Psalms 73:26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, 2 bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu 2 na fungu langu milele. 1
Isaiah 40:28Je wewe, hufahamu? 2 Je wewe, hujasikia? 1 Bwana ni Mungu wa milele, 2 Muumba wa miisho ya dunia. 1 Hatachoka wala kulegea, 2 wala hakuna hata mmoja 2 awezaye kuupima ufahamu wake. 1