1 Nyakati 23:14
Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now concerning Moses the man of God, his sons were named of the tribe of Levi.
In Context
15Wana wa Mose walikuwa: 2 Gershomu na Eliezeri. 1
Cross References
Deuteronomy 33:1Hii ndiyo baraka Mose mtu wa Mungu aliyotamka kwa Waisraeli kabla ya kifo chake.
1 Chronicles 26:23Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli: 1
Ezra 3:2Yeshua mwana wa Yosadaki na makuhani wenzake, Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na wenzake walianza kujenga madhabahu ya Mungu wa Israeli ili kumtolea dhabihu za sadaka za kuteketezwa kwa moto juu yake, kulingana na ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose mtu wa Mungu.