1 Nyakati 23:15
Wana wa Mose walikuwa: 2 Gershomu na Eliezeri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Moses were, Gershom, and Eliezer.
In Context
14Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi. 1
16Wazao wa Gershomu: 2 Shebueli alikuwa wa kwanza. 1
Cross References
Exodus 2:22Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Mose akamwita Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Exodus 18:3pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”