1 Nyakati 26:23
Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the Amramites, and the Izharites, the Hebronites, and the Uzzielites:
In Context
24Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Mose, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.
Cross References
Numbers 3:27Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.