bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 23 › 1 Nyakati 23:18
1 Nyakati 23:18
Wana wa Ishari: 2 Shelomithi alikuwa wa kwanza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the sons of Izhar; Shelomith the chief.
In Context
17Wazao wa Eliezeri: 2 Rehabia alikuwa wa kwanza. 2 Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 1
19Wana wa Hebroni walikuwa: 2 Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 1
Read all of 1 Nyakati 23
Cross References
1 Chronicles 24:22Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, 2 kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 23:18