1 Nyakati 24:22
Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, 2 kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the Izharites; Shelomoth: of the sons of Shelomoth; Jahath.
In Context
21Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: 2 Ishia alikuwa wa kwanza. 1
23Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 1
Cross References
Exodus 6:21Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri. 1
Numbers 3:27Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.
1 Chronicles 23:18Wana wa Ishari: 2 Shelomithi alikuwa wa kwanza. 1