1 Nyakati 23:19
Wana wa Hebroni walikuwa: 2 Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wana wa Ishari: 2 Shelomithi alikuwa wa kwanza. 1
20Wana wa Uzieli walikuwa: 2 Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 1 Wamerari 1
Cross References
1 Chronicles 15:9Kutoka wazao wa Hebroni, 2 Elieli kiongozi na ndugu zake 80. 1
1 Chronicles 24:23Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 1