1 Nyakati 24:23
Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, 2 kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 1
24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika; 2 kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 2
Cross References
1 Chronicles 23:19Wana wa Hebroni walikuwa: 2 Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 1