1 Nyakati 26:24
Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Mose, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Shebuel the son of Gershom, the son of Moses, was ruler of the treasures.
In Context
23Kutoka kwa wana wa Amramu, wana wa Ishari, wana wa Hebroni na wana wa Uzieli: 1
25Jamaa zake kutoka kwa Eliezeri, wanawe walikuwa: Rehabia, Yeshaya, Yoramu, Zikri na Shelomithi.
Cross References
1 Chronicles 23:15Wana wa Mose walikuwa: 2 Gershomu na Eliezeri. 1
1 Chronicles 23:17Wazao wa Eliezeri: 2 Rehabia alikuwa wa kwanza. 2 Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 1