The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 29 › 1 Nyakati 29:12

1 Nyakati 29:12

Utajiri na heshima vyatoka kwako; 2 wewe ndiwe utawalaye vitu vyote. 1 Mikononi mwako kuna nguvu na uweza 2 ili kuinua na kuwapa wote nguvu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Both riches and honour come of thee, and thou reignest over all; and in thine hand is power and might; and in thine hand it is to make great, and to give strength unto all.

In Context

11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1

13Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru 2 na kulisifu Jina lako tukufu.

Read all of 1 Nyakati 29

Cross References

1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1

2 Chronicles 16:9Kwa kuwa macho ya Bwana hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.”

Job 9:19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! 2 Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 1

Psalms 18:31Kwa maana ni nani aliye Mungu 2 zaidi ya Bwana? 1 Ni nani aliye Mwamba 2 isipokuwa Mungu wetu? 1

Psalms 29:1Mpeni Bwana, enyi mashujaa, 2 mpeni Bwana utukufu na nguvu. 1

Psalms 62:11Jambo moja Mungu amelisema, 2 mambo mawili nimeyasikia: 1 kwamba, Ee Mungu, 2 wewe una nguvu, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 29:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 29:111 Nyakati 291 Nyakati 29:13 →