1 Samweli 2:7
Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD maketh poor, and maketh rich: he bringeth low, and lifteth up.
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:17Mnaweza kusema, “Uwezo wangu na nguvu za mikono yangu ndizo zilizonipatia utajiri huu.”
2 Chronicles 32:27Hezekia alikuwa na utajiri mwingi sana na heshima, naye akajifanyia hazina kwa ajili ya fedha yake na dhahabu na kwa ajili ya vito vyake vya thamani, vikolezi, ngao na aina zote za vyombo vya thamani.
Job 1:21na kusema: 1 “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, 2 nami nitaondoka uchi, + 1:21 Au: nitarudi huko uchi. 1 Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, 2 jina la Bwana litukuzwe.”
Psalms 75:7Bali Mungu ndiye ahukumuye: 2 Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 1
Psalms 102:10kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, 2 kwa maana umeniinua na kunitupa kando. 1
Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1