The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 29 › 1 Chronicles 29:13

1 Chronicles 29:13

Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru 2 na kulisifu Jina lako tukufu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore, our God, we thank thee, and praise thy glorious name.

In Context

12Utajiri na heshima vyatoka kwako; 2 wewe ndiwe utawalaye vitu vyote. 1 Mikononi mwako kuna nguvu na uweza 2 ili kuinua na kuwapa wote nguvu, 1

14“Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako.

Read all of 1 Chronicles 29

Cross References

Psalms 105:1Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake, 2 wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 1

Psalms 145:1Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme, 2 nitalisifu jina lako milele na milele. 1

Daniel 4:34Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1

2 Corinthians 8:16Ninamshukuru Mungu ambaye amemtia Tito moyo wa kuwajali ninyi kama mimi ninavyowajali.

1 Thessalonians 2:13Nasi pia tunamshukuru Mungu bila kukoma kwa sababu mlipolipokea neno la Mungu mlilosikia kutoka kwetu, hamkulipokea kama neno la wanadamu, bali mlilipokea kama lilivyo hasa, neno la Mungu, litendalo kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 29:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Chronicles 29:121 Chronicles 291 Chronicles 29:14 →