The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 4 › Daniel 4:34

Daniel 4:34

Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And at the end of the days I Nebuchadnezzar lifted up mine eyes unto heaven, and mine understanding returned unto me, and I blessed the most High, and I praised and honoured him that liveth for ever, whose dominion is an everlasting dominion, and his kingdom is from generation to generation:

In Context

33Papo hapo yale yaliyokuwa yamesemwa kuhusu Nebukadneza yakatimia. Alifukuzwa mbali na wanadamu, akala majani kama ngʼombe. Mwili wake uliloweshwa kwa umande wa mbinguni mpaka nywele zake zikakua kama manyoya ya tai na kucha zake kama makucha ya ndege.

35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”

Read all of Daniel 4

Cross References

Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1

1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1

Job 1:21na kusema: 1 “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, 2 nami nitaondoka uchi, + 1:21 Au: nitarudi huko uchi. 1 Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, 2 jina la Bwana litukuzwe.”

Psalms 9:2Nitafurahi na kushangilia ndani yako. 2 Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana. 1

Psalms 50:14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, 2 timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 1

Psalms 90:1Bwana, wewe umekuwa makao yetu 2 katika vizazi vyote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 4:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 4:33Daniel 4Daniel 4:35 →