1 Nyakati 29:15
Sisi ni wageni na wapitaji machoni pako, kama walivyokuwa baba zetu wote. Siku zetu duniani ni kama kivuli, bila tumaini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 21:34Naye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.
Genesis 47:9Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
Job 8:9kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, 2 nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. 1
Job 14:10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; 2 hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 1
Psalms 39:13Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena 2 kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Psalms 102:11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, 2 ninanyauka kama jani. 1