Genesis 47:9
Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Farao akamuuliza, “Je una umri gani?”
10Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.
Cross References
Genesis 5:27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
Genesis 11:24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.
Genesis 35:28Isaki aliishi miaka 180.
Genesis 50:26Kwa hiyo Yosefu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.
Exodus 7:7Mose alikuwa na umri wa miaka themanini na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu walipozungumza na Farao. 1 Fimbo Ya Aroni Yawa Nyoka
Joshua 24:29Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.