Psalms 39:13
Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena 2 kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O spare me, that I may recover strength, before I go hence, and be no more.
In Context
Cross References
Genesis 42:36Yakobo baba yao akawaambia, “Ninyi mmenipokonya watoto wangu. Yosefu hayupo na Simeoni hayupo tena na sasa mnataka kumchukua Benyamini. Kila kitu ni kinyume nami!”
Leviticus 25:23“ ‘Kamwe ardhi isiuzwe kwa mkataba wa kudumu, kwa sababu nchi ni mali yangu, nanyi ni wageni na wapangaji wangu.
1 Chronicles 29:15Sisi ni wageni na wapitaji machoni pako, kama walivyokuwa baba zetu wote. Siku zetu duniani ni kama kivuli, bila tumaini.
Job 10:20Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? 2 Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi 1
Job 14:10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; 2 hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 1
Psalms 119:19Mimi ni mgeni duniani, 2 usinifiche amri zako. 1