1 Nyakati 29:3
Zaidi ya hayo, kwa kujitolea kwangu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wangu, sasa ninatoa hazina zangu mwenyewe za dhahabu na fedha kwa ajili ya Hekalu la Mungu wangu, zaidi ya mali niliyotoa kwa ajili ya Hekalu hili takatifu:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 21:24Lakini Mfalme Daudi akamjibu Arauna, “La hasha! Lakini ninasisitiza kwamba nitalipa bei yake kamili. Sitachukua kilicho chako kwa ajili ya Bwana au kutoa sadaka ya kuteketezwa ambayo hainigharimu chochote.”
1 Chronicles 22:14“Nimejitaabisha sana ili kupata mahitaji kwa ajili ya Hekalu la Bwana: talanta 100,000 + 22:14 Talanta 100,000 za dhahabu ni sawa na tani 3,750. za dhahabu, talanta 1,000,000 + 22:14 Talanta 1,000,000 za fedha ni sawa na tani 37,500. za fedha na kiasi kisichopimika cha shaba na chuma, pia mbao na mawe. Nawe waweza kuviongeza.
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1
Proverbs 3:9Mheshimu Bwana kwa mali zako na 2 kwa malimbuko ya mazao yako yote; 1