1 Chronicles 29:4
talanta 3,000 + 29:4 Talanta 3,000 za dhahabu sawa na tani 110. za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 + 29:4 Talanta 7,000 za fedha ni sawa na tani 260. za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 7:85Kila sahani ya fedha ilikuwa na uzito wa shekeli 130, na kila bakuli la fedha la kunyunyizia lilikuwa na uzito wa shekeli sabini. Masinia yote kumi na mawili yalikuwa na uzito wa shekeli 2,400 + 7:85 Shekeli 2,400 za fedha ni sawa na kilo 28.kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.
1 Chronicles 1:23Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani. 2
Job 28:16Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, 2 kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa. 1