The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 28 › Ayubu 28:16

Ayubu 28:16

Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, 2 kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It cannot be valued with the gold of Ophir, with the precious onyx, or the sapphire.

In Context

15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, 2 wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. 1

17Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, 2 wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu. 1

Read all of Ayubu 28

Cross References

1 Chronicles 29:4talanta 3,000 + 29:4 Talanta 3,000 za dhahabu sawa na tani 110. za dhahabu (dhahabu ya Ofiri) na talanta 7,000 + 29:4 Talanta 7,000 za fedha ni sawa na tani 260. za fedha safi iliyosafishwa, kwa ajili ya kufunika kuta za Hekalu,

Isaiah 13:12Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, 2 watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 28:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 28:15Ayubu 28Ayubu 28:17 →