bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 29 › 1 Nyakati 29:8
1 Nyakati 29:8
Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la Bwana chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they with whom precious stones were found gave them to the treasure of the house of the LORD, by the hand of Jehiel the Gershonite.
In Context
7Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 + 29:7 Talanta 5,000 za dhahabu ni sawa na tani 190. na darkoni 10,000 + 29:7 Darkoni 10,000 za dhahabu ni sawa na kilo 84. za dhahabu, talanta 10,000 + 29:7 Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 375. za fedha, talanta 18,000 + 29:7 Talanta 18,000 za shaba ni sawa na tani 675. za shaba na talanta 100,000 + 29:7 Talanta 100,000 za chuma ni sawa na tani 3,750. za chuma.
9Watu wakafurahi kwa sababu ya itikio la hiari la viongozi wao, kwa kuwa walikuwa wametoa kwa hiari na kwa moyo wote kwa Bwana. Mfalme Daudi pia akafurahi sana. 1 Maombi Ya Daudi
Read all of 1 Nyakati 29
Cross References
Exodus 35:21na kila mmoja aliyependa na ambaye moyo wake ulimsukuma alikuja na kuleta sadaka kwa Bwana, kwa ajili ya kazi katika Hema la Kukutania, kwa ajili ya huduma yake yote na kwa ajili ya mavazi matakatifu.
1 Chronicles 26:21Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 29:8