Exodus 35:21
na kila mmoja aliyependa na ambaye moyo wake ulimsukuma alikuja na kuleta sadaka kwa Bwana, kwa ajili ya kazi katika Hema la Kukutania, kwa ajili ya huduma yake yote na kwa ajili ya mavazi matakatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Ndipo jumuiya yote ya Waisraeli ilipoondoka mbele ya Mose,
Cross References
Exodus 25:2“Waambie Waisraeli waniletee sadaka. Utapokea sadaka kwa niaba yangu kutoka kwa kila mtu ambaye moyo wake wapenda kutoa.
Exodus 35:22Wote waliokuwa na utayari, wanaume kwa wanawake, wakaja wakaleta vito vya dhahabu vya kila aina: vipini, vipuli, pete na mapambo. Wote wakatoa dhahabu zao kama sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana.
Exodus 35:29Waisraeli wote waume kwa wake waliokuwa wanapenda wakaleta mbele za Bwana kwa hiari yao wenyewe sadaka kwa ajili ya kazi yote ya Bwana aliyokuwa amewaagiza kuifanya kupitia kwa Mose. 1 Bezaleli Na Oholiabu (Kutoka 31:1-11)
Judges 5:3“Sikieni hili, enyi wafalme! 2 Sikilizeni, enyi watawala! 1 Nitamwimbia Bwana, nitaimba; 2 kwa wimbo nitamhimidi Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1
Judges 5:12‘Amka, amka! Debora! 2 Amka, amka, uimbe! 1 Ee Baraka! Inuka, 2 chukua mateka wako uliowateka, 2 ee mwana wa Abinoamu.’ 1
1 Chronicles 28:2Mfalme Daudi akainuka na kusema: “Nisikilizeni ndugu zangu nanyi watu wangu. Nilikuwa na nia ya kujenga nyumba ili iwe mahali pa kukaa Sanduku la Agano la Bwana kwa ajili ya kuwa mahali pa kuwekea miguu ya Mungu wetu, nami nikafanya maandalizi ya kuijenga.