1 Chronicles 3:1
Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni: 2 Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli; 2 wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 15:56Yezreeli, Yokdeamu, Zanoa,
1 Samuel 27:3Daudi na watu wake wakakaa huko Gathi pamoja na Akishi. Kila mtu alikuwa pamoja na jamaa yake, naye Daudi pamoja na wakeze wawili: yaani Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili wa Karmeli, mjane wa Nabali.
2 Samuel 3:2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: 2 Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 2
2 Samuel 13:1Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura.
1 Chronicles 28:5Miongoni mwa wanangu wote, naye Bwana amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana juu ya Israeli.