The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 3 › 1 Nyakati 3:14

1 Nyakati 3:14

mwanawe huyo alikuwa Amoni 2 na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Amon his son, Josiah his son.

In Context

13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, 2 mwanawe huyo alikuwa Hezekia, 2 mwanawe huyo alikuwa Manase, 2

15Wana wa Yosia walikuwa: 2 Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, 2 Yehoyakimu mwanawe wa pili, 2 wa tatu Sedekia, 2 wa nne Shalumu. 1

Read all of 1 Nyakati 3

Cross References

2 Kings 21:19Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Mamaye aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, kutoka Yotba.

2 Kings 23:30Watumishi wa Yosia wakauleta mwili wake katika gari la vita kutoka Megido hadi Yerusalemu, wakamzika kwenye kaburi lake mwenyewe. Nao watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia, wakamtia mafuta na kumfanya mfalme mahali pa baba yake. 1 Yehoahazi Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:2-4)

2 Kings 24:17Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia. 1 Sedekia Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:11-12; Yeremia 52:1-3)

2 Chronicles 34:1Yosia alikuwa na miaka minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka thelathini na mmoja.

2 Chronicles 36:5Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Akafanya maovu machoni pa Bwana Mungu wake.

Jeremiah 22:11Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Shalumu + 22:11 Shalumu ndiye pia anaitwa Yehoahazi. mwana wa Yosia, aliyeingia mahali pa baba yake kuwa mfalme wa Yuda, lakini ameondoka mahali hapa: “Yeye kamwe hatarudi tena.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 3:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 3:131 Nyakati 31 Nyakati 3:15 →