1 Nyakati 4:14
Meonathai akamzaa Ofra. 1 Seraya akamzaa Yoabu, 2 baba wa Ge-Harashimu. + 4:14 Maana yake Bonde la Mafundi. Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Wana wa Kenazi walikuwa: 2 Othnieli na Seraya. 1 Wana wa Othnieli walikuwa: 2 Hathathi na Meonathai.
Cross References
1 Chronicles 4:23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. 1 Simeoni 1