1 Nyakati 4:15
Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: 2 Iru, Ela na Naamu. 1 Naye mwana wa Ela alikuwa: 2 Kenazi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Caleb the son of Jephunneh; Iru, Elah, and Naam: and the sons of Elah, even Kenaz.
In Context
16Wana wa Yahaleleli walikuwa: 2 Zifu, Zifa, Tiria na Asareli. 1
Cross References
Numbers 13:6kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune; 1
Numbers 14:6Yoshua mwana wa Nuni na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwa watu wale waliokwenda kuipeleleza nchi, wakararua nguo zao,
Numbers 14:30Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kuwa makao yenu, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.
Joshua 15:13Kwa kufuata maagizo ya Bwana kwake, Yoshua alimpa Kalebu mwana wa Yefune sehemu katika Yuda: Kiriath-Arba, yaani Hebroni (Arba alikuwa baba wa zamani wa Anaki).