1 Nyakati 4:1
Wana wa Yuda walikuwa: 2 Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Judah; Pharez, Hezron, and Carmi, and Hur, and Shobal.
In Context
Cross References
Genesis 38:29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Numbers 26:19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Ruth 4:18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: 1 Peresi alimzaa Hesroni, 1
1 Chronicles 2:4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 1
1 Chronicles 2:7Mwana wa Karmi alikuwa: 2 Akari, + 2:7 Akari maana yake Taabisha; pia anaitwa Akani ( Yos 6:1-26; 22:20 ). ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu. 1
1 Chronicles 2:18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.