Isaya 19:9
Wale watu wafanyao kazi ya kitani kilichochambuliwa watakata tamaa, 2 wafumaji wa kitani safi watavunjika moyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover they that work in fine flax, and they that weave networks, shall be confounded.
In Context
10Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, 2 nao vibarua wataugua moyoni. 1
Cross References
1 Kings 10:28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. + 10:28 Yaani Kilikia ilioko Syria. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.
Proverbs 7:16Nimetandika kitanda changu 2 kwa kitani za rangi kutoka Misri. 1