The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 10 › Genesis 10:6

Genesis 10:6

Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Ham; Cush, and Mizraim, and Phut, and Canaan.

In Context

5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 2 Wazao Wa Hamu 1

7Wana wa Kushi walikuwa: 2 Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. 1 Wana wa Raama walikuwa: 2 Sheba na Dedani.

Read all of Genesis 10

Cross References

Genesis 5:32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.

Genesis 9:22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake na kuwaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.

1 Chronicles 4:40Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu waliishi huko zamani.

Psalms 105:23Kisha Israeli akaingia Misri, 2 Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 1

Psalms 106:22miujiza katika nchi ya Hamu 2 na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu. 1

Jeremiah 46:9Songeni mbele, enyi farasi! 2 Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi, 1 Endeleeni mbele, enyi mashujaa: 2 watu wa Kushi + 46:9 Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan. na Putu + 46:9 Putu sasa ni Libya. wachukuao ngao, 2 watu wa Ludi + 46:9 Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya. wavutao upinde. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 10:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 10:5Genesis 10Genesis 10:7 →