1 Nyakati 6:1
Wana wa Lawi walikuwa: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Levi; Gershon, Kohath, and Merari.
In Context
2Wana wa Kohathi walikuwa: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
Cross References
Genesis 46:11Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Numbers 3:14Bwana akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai,
Numbers 26:57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1
1 Chronicles 6:20Wazao wa Gershoni: 2 Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, 2 Yahathi akamzaa Zima,
Ezra 8:18Kwa sababu mkono wa neema wa Mungu wetu ulikuwa juu yetu, walituletea Sherebia, mtu mwenye uwezo kutoka wazao wa Mahli mwana wa Lawi, mwana wa Israeli, na wana wa Sherebia pamoja na ndugu zao wanaume kumi na wanane.