bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 6 › 1 Nyakati 6:61
1 Nyakati 6:61
Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And unto the sons of Kohath, which were left of the family of that tribe, were cities given out of the half tribe, namely, out of the half tribe of Manasseh, by lot, ten cities.
In Context
60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1 Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.
62Wazao wa Gershoni, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na mitatu kutoka kwa makabila ya Isakari, Asheri na Naftali kutoka sehemu ya kabila la Manase huko Bashani.
Read all of 1 Nyakati 6
Cross References
Joshua 21:4Kura ya kwanza ikaangukia Wakohathi, ukoo kwa ukoo. Walawi waliokuwa wazao wa kuhani Aroni walipewa miji kumi na mitatu kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini.
1 Chronicles 6:1Wana wa Lawi walikuwa: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
1 Chronicles 6:33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: 1 Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: 2 Hemani, mpiga kinanda, 2 alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 2
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 6:61