The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 26 › Numbers 26:20

Numbers 26:20

Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Judah after their families were; of Shelah, the family of the Shelanites: of Pharez, the family of the Pharzites: of Zerah, the family of the Zarhites.

In Context

19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.

21Wazao wa Peresi walikuwa: 2 kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; 2 kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.

Read all of Numbers 26

Cross References

Genesis 38:11Kisha Yuda akamwambia Tamari mkwewe, “Ishi kama mjane nyumbani mwa baba yako mpaka mwanangu Shela atakapokua.” Kwa maana alifikiri, “Angeweza kufa pia kama ndugu zake.” Kwa hiyo Tamari alikwenda kuishi nyumbani kwa baba yake.

Genesis 38:26Yuda akavitambua na kusema, “Yeye ana haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumkabidhi kwa mwanangu Shela ili awe mkewe.” Tangu hapo hakukutana naye kimwili tena.

Ruth 4:18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: 1 Peresi alimzaa Hesroni, 1

1 Chronicles 4:21Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: 2 Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,

Nehemiah 11:4ambapo watu wengine kutoka Yuda na Benyamini waliishi Yerusalemu). Kutoka wazao wa Yuda: Athaya mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, mzao wa Peresi.

Nehemiah 11:24Pethahia mwana wa Meshezabeli, mmoja wa wazao wa Zera mwana wa Yuda, alikuwa mwakilishi wa mfalme katika mambo yote kuhusu mahusiano na watu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 26:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 26:19Numbers 26Numbers 26:21 →